Tanzania yapangwa na Burundi safari ya Qatar
Tanzania imepangwa kucheza na Burundi katika raundi ya awali ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Qatar.
Mechi za raundi hiyo zitachezwa kati ya Tarehe 2-10 Septemba,2019, ambapo Tanzania imepangwa kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani.