Lukaku atemwa Man United
Romelu Lukaku hajajumuishwa katika kikosi cha Man United kilichoondoka leo kwenda nchini Norway kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya Kristiansund
Imeripotiwa kuwa Man United bado wanafanya mazungumzo na Inter Milan juu ya uhamisho wa mshambuliaji huyo na mpaka sasa hawajafikia makubaliano juu ya ada yake ya usajili.