Mahrez kuzuiwa kuingia Misri
Imeripotiwa kuwa kuna uwezekano mkubwa Riyad Mahrez akazuiwa kuingia nchi Misri kufuatia mchezaji huyo kukataa kumpa mkono waziri mkuu nchi hiyo Mostafa Madbouly wakati anaenda kukabidhiwa kombe la ubingwa wa AFCON 2019 akiwa kama nahodha wa Algeria baada ya kushinda mchezo wa fainali ya michuano hiyo dhidi ya Senegal Ijumaa iliyopita. Kabla ya kwenda kukabidhiwa …