Mahakama yakosa ushahidi kesi ya Ronaldo
Nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo hatakabiliana na shitaka lolote juu ya kutuhumiwa kumbaka mwanadada mmoja mwaka 2009, Las Vegas huko nchini Marekani, wamethibitisha waendesha mashitaka wa Marekani. Mwanadada Kathryn Mayorga alidai staa huyo alimnyanyasa kingono mwaka 2009 baada ya kukutana Club usiku katika hoteli ya Palms. Awali ilielezwa kuwa mwaka 2010,mwanadada huyo alikubali kulipwa dola …