Yanga kuwaleta wababe wa Simba Bongo
Kuelekea kilele cha wiki ya mwananchi Klabu ya Yanga inawaleta As Vita kutoka nchini Congo kwa ajili ya kucheza mchezo wa kirafiki katika siku hiyo. Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Fredrick Mwakalebela amesema kuwa ziara ya wiki ya mwananchi itaanza Julai 28 mwaka huu na kilele chake kitakuwa Agosti 4 mwaka huu. Sherehe hizo za …