July 11, 2019 / Football Niyonzima arudi kwao Rwanda Kiungo wa zamani wa klabu za Yanga na Simba Haruna Niyonzima amejiunga na klabu ya AS Kigali ya nchini Rwanda.