Koscielny agoma kusafiri na Arsenal
Arsenal wamethibitisha nahodha wao Laurent Koscielny amekataa kusafiri na kikosi kwenda nchini Marekani kwa ajili ya maandilizi ya msimu mpya. . “ Tumesikitishwa na vitendo vya Laurent, ambavyo vipo kinyume ya miongozo yetu. Tunatumaini kutatua tatizo hili na hatutow maelezo yoyote zaidi kwa wakati huu.” Wamesema hivyo Arsenal. Koscielny,33, yupo katika mwaka wa mwisho wa …