David Kissu atua Gor Mahia
Kipa David Kissu aliyekuwa anaicheza Singida United amesaini kandarasi ya miaka 3 ya kuitumikia klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya. Mkurugenzi wa Singida United Festo Sanga amesema kuwa wanamshukuru Mungu kwa kijana wao Kissu kupata nafasi ya kwenda kucheza soka la kulipwa kwenye klabu kubwa Nchini Kenya na Africa Mashariki. . “Tunashukuru mchezaji wetu …