Peru waifuata Brazil fainali
Peru wanafuzu fainali ya Copa America 2019 kwa kumtoa bingwa mara mbili mfululizo Chile. Peru watacheza na Brazil katika fainali itakayopigwa Jumapili hii Julai 7. Hii ni mara ya kwanza Peru kufuzu hatua ya fainali ya Copa America tangu mwaka 1975. Katika hatua ya makundi ya michuano hii mwaka huu Brazil na Peru zilikutana na …