Ibrahim Ajib arejea Msimbazi
Mshambuliaji Ibrahim Ajib amerejea katika klabu yake ya zamani ya Simba akitokea klabu ya Yanga.

Mchezaji huyo ambaye alikuwa Yanga kwa misimu miwili, amerejea Simba na kusaini kandarasi ya miaka miwili.