Wachezaji wa Uganda walipwa baada ya mgomo
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Uganda jana Julai 2 waligoma kufanya mazoezi huko nchini Misri ambapo wapo kwenye michuano ya AFCON wakishinikiza kulipwa bonasi na posho wanazodai shirikisho lao la soka FUFA. Baada ya mgomo huo shirikisho hilo la soka jana limethibitisha kuwalipa wachezaji hao madai yao. Kila mchezaji amelipwa Dola 14,600 kwa posho …