July 1, 2019 / Football Wawa bado yupo yupo Msimbazi Beki wa kati wa Simba SC Pascal Wawa ameongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia Klabu hiyo.