Familia ya Solskjaer yaandika Historia nchini kwao Norway
Usiku wa jana klabu ya Manchester United ikiwa chini ya kocha wao Ole Gunnar Solskjaer ilikuwa Norway kucheza mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya Kristiansund. Mchezo huo ulimalizika kwa Kristiansund kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Manchester United lakini kivutio kikubwa kilikuwa ni kwa Noah Solskjaer ambaye ni mtoto wa kocha wa sasa …