Shabiki wa Valencia aliyepoteza uwezo wa kuona aenziwa kiaina yake
Klabu ya Valencia ya nchini Hispania imeamua kutambua mchango wa shabiki wao aliyekuwa mlemavu wa macho ikiwa ni miaka miwili imepita toka kitokee kifo chake. Valencia wameamua kumuenzi kwa heshima shabiki huyo kwa kumtengenezea sanamu katika siti yake aliyokuwa akipenda kukaa katika uwanja wa Mestalla. Shabiki huyo wa Valencia anayejulikana kwa jina la Vincente Aparicio …