Makonda atua Misri kutoa hamasa kwa Stars
Mwenyekiti wa Kamati ya uhamasisha ya Taifa Stars taifa,mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewasili nchini Misri kwa ajili ya kuendelea kuipa hamasa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’. Makonda amesema kuwa wao walioenda nchini Misri wameenda na matumaini makubwa ya kwamba Taifa Stars inaweza na wachezaji watafanya vizuri kadri ya …