Samatta ajiunga na KMC
Kiungo mshambuliaji Mohamed Samatta amejiunga na klabu ya KMC akitokea Mbeya City kwa mkataba wa miaka mitatu.
Huyu ni kaka wa mshambuliaji wa Genk na Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta.