Verstappen ashinda Austrian GP
Dereva Max Verstappen wa timu ya Red Bull anaibuka na ushindi katika mbio za Austrian GP akifuatiwa na Charles Leclerc wa Ferrari na wote kuandika rekodi katika Formula1 ya kuwa madereva wadogo kushika nafasi mbili za juu kwa pamoja. Nafasi ya tatu imeshikwa na Bottas wa Mercedes, huku mkongwe Sebastian Vettel aliyeanzia nafasi ya tisa …