Kotei asajiliwa Keizer Chiefs
Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemsajili kiungo James Kotei kutoka Simba kwa mkataba wa miaka mitatu
Kotei alikuwa ni mshindi wa tuzo ya kiungo bora wa Simba katika msimu uliomalizika.