Ofisi za TFF sasa zapelekwa Kigamboni
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF linatarajia kuhamisha ofisi zake zilizopo Ilala Karume jijini Dar es Salaam na kwenda Kigamboni ifikapo Disemba mwaka huu. Hayo yamesemwa na makamu wa Rais wa Shirikisho hilo Athumani Nyamlani wakati wa zoezi la kukabidhiwa Uwanja na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda. Uwanja huo upo …