Ferrari waulilia ushindi wa Vettel wa Canada
Baada dereva Sebastian Vettel wa Ferrari kupokwa ushindi kwa kupigwa penati katika mbio za Canada GP Juni 9 mwaka huu, timu yake ya Ferrari itawasilisha ushahidi mwingine hapo kesho Ijumaa katika mbio za French GP kwa wasimamizi ili uamuzi huo kupitiwa upya. Upande wa pili dereva wa timu ya RedBull Max Verstapen aliyemaliza katika nafasi …