Enrique aachana na Hispania
Rais wa Shirikisho la soka la Hispania,Luis Rubiales leo ametangaza kuwa kocha Luis Enrique hataendelea kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Hispania na nafasi yake itachukuliwa na kocha wake msaidizi, Robert Moreno. Moreno ambaye nae ni Mhispania, ameanza kufanya kazi na Luis Enrique tangu wakutane katika kikosi cha Barcelona B, wakaenda kufundisha wote AS …