Azam FC yashusha kifaa kutoka Mbeya City
Azam FC imekamilisha usajili wa winga Idd Seleman ‘Nado’ kutoka Mbeya City kwa mkataba wa miaka miwili. Huu ni usajili wa kwanza wa Azam FC kwa kipindi hiki cha usajili
Azam FC imekamilisha usajili wa winga Idd Seleman ‘Nado’ kutoka Mbeya City kwa mkataba wa miaka miwili. Huu ni usajili wa kwanza wa Azam FC kwa kipindi hiki cha usajili
Baada ya sare ya 2-2 ya Paraguay na Qatar jana katika mchezo wa kundi B kwenye michuano ya Copa America 2019, kocha wa timu ya Taifa ya Paraguay Eduardo Berizzo ameliponda shirikisho la soka la Amerika kusini CONMEBOL kwa kuzialika timu za nje ya bara hilo kwenye michuano hiyo. Mabingwa wa Asian Cup 2019 Qatar …
Mshambuliaji wa Simba SC Meddie Kagere ambae ni raia wa nchini Rwanda ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia Klabu yake ya Simba SC. Katika msimu mmoja aliojiunga na Simba SC Kagere amekuwa mfungaji bora aliefikisha magoli mengi katika msimu wa 2018/2019 kwa kuwa na magoli 23. Pia katika tuzo za Mo Simba Awards …