Carragher amkazia Van Dijk mbele ya Messi
Sasa moja kati ya tuzo zinazokuwa zinasubiriwa kwa hamu katika soka ni pamoja na tuzo ya Ballon d’Or 2019, kwa miaka 10 iliyopita kabla ya mwaka jana kuchukua Luka Modric ilikuwa tuzo hiyo inatawaliwa na Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao walikuwa wakipokezana. Kwa mwaka 2019 hadi sasa inatajwa kuwa Cristiano Ronaldo hapewi nafasi kutwaa …