Ronaldo ageuka wakala, ataka kumleta De Ligt Juventus
Baada ya mechi ya fainali kati ya Ureno na Uholanzi kumalizika hapo jana, Cristiano Ronaldo alimfuata beki wa Uholanzi na nahodha wa Ajax Matthijs de Ligt na kumwambia ajiunge na Juventus. . “Ronaldo aliniuliza kuhusu kuja Juventus. Nilishangazwa na kidogo na lile swali,ndio maana nilicheka. Mara ya kwanza sikumuelewa….Kwa hiyo sikusema chochote.” Alisema De Ligt …