Wenger ashusha lawama zake kwa Van Dijk
Kocha wa zamani wa timu ya Arsenal ya nchini England aliyedumu na timu hiyo kwa miaka 22 Arsene Wenger, ameamua kuelekeza lawama zake za mchezo wa Barcelona dhidi ya Liverpool wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa beki wa Liverpool Virgil Van Dijk. Wenger amekosoa na kueleza kuwa goli lililokuwa limewaweka Liverpool katika …