Hazard kutegua kitendawili baada ya fainali ya Europa
Nyota wa kikosi cha Chelsea ambaye kwa muda mrefu amekuwa midomoni mwa watu na vyombo vya habari kuwa msimu huu ukimalizika anaweza kutimka wakati wowote, huku klabu ya Real Madrid ikitajwa kuwa ndio chaguo lake, ameendelea kuacha maswali na kushindwa kuweka wazi msimamo wake. Hazard baada ya kuiwezesha timu yake ya Chelsea kwa kuifungia penati …