Shujaa wa United kuchezesha fainali Klabu Bingwa Ulaya
Shirikisho soka Ulaya UEFA ikiwa siku zinahesabika kuelekea mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya limemtangaza mwamuzi wa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa kati ya Liverpool dhidi ya Tottenham Hotspur za nchini England mchezo ambao utachezwa katika jiji la Madrid Hispania. . UEFA kimemtangaza muamuzi Damir Skomina (42) raia wa nchini Slovenia …