Simba kwenda kuusaka Ubingwa Singida
Kikosi cha Simba SC tayari kimeanza safari ya kuelekea Mkoani Singida kwaajili ya mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara utakaochezwa Mei 21 mwaka huu (kesho) kwenye Uwanja wa Namfua. Kikosi hicho tayari kimeishawasili kwenye Uwanja wa ndege wa Jijini Dodoma baada ya kuondoka asubuhi jijini Dar es Salaam kwa usafiri wa Ndege, na sasa kutoka …