FIFA Yamfungia Rais wa FA ya Sudan
Shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu duniani (FIFA) linazidi kudhihirisha kuwa halitaki utani wala madudu katika mchezo huo, FIFA wameonesha hayo kwa vitendo baada ya kushuhudia baadhi ya watu wakipoteza nafasi zao uongozi kutokana na kukumbwa na hatia ya makosa Fulani. Kutokana na uchunguzi wao na kujiridhisha FIFA imetangaza rasmi kumfungia aliyekuwa Rais wa …