Mvua zazuia sherehe za Simba Dar
Kutokana na mvua kubwa kunyesha leo jijini Dar es Salaam katika mchezo wa leo ambao ulikuwa maalumu kwa Klabu ya Simba SC kukabidhiwa Kombe la Ubingwa leo zoezi hilo limeahirishwa mpaka wiki ijayo Mei 28. Simba SC sasa atakabidhiwa Kombe hilo kwenye mchezo wake dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa Jumanne ijayo Mei 28 kwenye Uwanja …