Bei ya tiketi za AFCON ndio hizi
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limetangaza gharama za tiketi za kutazama mechi za Fainali ya Africa (AFCON) inayotarajia kuanza June 21 nchini Misri, CAF imetangaza gharama hizo kwa madaraja mbalimbali. . Kwenye michezo ya hatua ya makundi ambayo itahusisha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” tiketi za daraja la 1 USD 29,tiketi za daraja …