Berahino afungiwa miezi 30
Baada ya kuthibitika na kubaini kuwa nyota wa Burundi na timu ya Stoke City ya nchini England Saido Berahino ametenda kosa la kuendesha gari akiwa amelewa, Mahakama nchini England imetangaza adhabu yake baada ya kupitia shauri lake kwa miezi mitatu. Saido (25) amebainika kuwa mwezi Februari 18 aliendesha gari lake aina ya Range Rover jijini …