Ajib asema wamerudisha matumaini ya Ubingwa
Baada ya Ushindi wa jana wa goli 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting ,Nahodha wa Yanga Ibrahim Ajib amesema wamefufua matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu. Ajibu amesema kabla ya ushindi huo baadhi yao walishaanza kukata tamaa kutokana na kupoteza michezo miwili mfululizo. Amesema baada ya kutolewa kwenye mashindano ya Kombe …