Azerbaijan wamjibu Jurgen Klopp
Chama cha soka cha Azerbaijan kimemjibu kocha wa Liverpool Jurgen Klopp aliyekosoa UEFA kwa kuipeleka fainali ya Europa Ligi msimu huu mjini Baku nchini Azerbaijan. . Kocha huyo ambaye timu yake inacheza fainali ya klabu bingwa Ulaya dhidi ya Tottenham jijini Madrid, alisema kuwa hajui ni kifungua kinywa gani walipata watu wa UEFA kabla ya …