Raioa afungiwa baada ya kuita shirikisho la soka dhaifu
Mambo yanazidi kumuendea mlama wakala wa mchezaji wa Manchester United Paul Pogba Mino Raiola, wakala huyo ambaye ni mzaliwa wa Italia siku chache zilizopita shirikisho la soka nchini Italia (FIGC) lilitangaza kumfungia miezi mitatu kutokufanya shughuli zozote za uwakala katika nchi hiyo kwa miezi mitatu. . Baada ya adhabu hiyo kutokana ni kama FIGC imemwagia …