Beki aliyekuwa anawindwa na Simba ajitia kitanzi Azam
Beki wa kimataifa kutoka nchini Ghana anayecheza Klabu ya Azam Yakubu Mohamed ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Klabu hiyo. Msemaji wa Klabu hiyo Jaffary Idd Maganga amesema kuwa baada ya Uongozi wa Klabu hiyo tayari umeishazungumza na mchezaji huyo na kufikia hatua ya kuongeza mkataba wa miaka miwili. . “Yakubu leo hii alikuwa …