Bado pointi 4 tu Samatta kubeba ubingwa Ubelgiji
Inawezekana kabisa msimu wa 2018/2019 ukawa wa kihistoria kwa mtanzania Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa nchini Ubelgiji katika timu ya KRC Genk , Samatta anaweza kuandika historia kwa kutwaa taji lake la kwanza la Ligi Kuu ya Ubelgiji toka atue katika ardhi hiyo. . Matumaini ya KRC kutwaa taji hilo yanawezekana kutokana na uhitaji …