Mshindi wa Ballon d’Or aachwa timu ya Taifa
Habari inayosisimua kwa sasa katika soka la wanawake ni kuhusiana na mchezaji bora wa dunia wa Ballon d’Or Ada Hegerberg kutojumuishwa katika kikosi cha timu yake ya taifa ya wanawake ya nchini Norway, kitendo ambacho kimewashangaza wengi na kuanza kujiuliza. . Inadaiwa kuachwa kwa mchezaji huyo katika timu ya taifa ya wanawake ya Norway kunatokana …