Eden Hazard awaaga Chelsea
Baada ya ushindi wa mabao 4-1 wa Chelsea dhidi ya Arsenal katika mchezo wa fainali ya Europa League iliyochezwa katika uwanja wa Olympic mjini Baku katika nchi ya Azerbaijan, Eden Hazard ameweka wazi msimamo wako na kutoa kauli inayoashiria safari yake Stamford Bridge imefikia mwisho. Hazard ambaye katika mchezo huo alisaidia kwa kiwango kikubwa kupatikana …