Joey Barton amtoa meno kocha mwenzake
Ukiachana na jina la Mario Balotelli ambaye amekuwa na matukio ya ajabu na kuonesha utukutu wake wa hali ya juu kwa makocha na baadhi ya watu wake wa karibu, kuna nyota wa England anayejulikana kwa jina la Joey Barton nae amekuwa na tabia za kitukutu kama ilivyo kwa Balotelli. Joey Barton ambaye ana umri wa …