Mama Ronaldo aeleza masikitiko ya mtoto wake
Mama mzazi wa nyota wa Juventus ya nchini Italia Cristiano Ronaldo, Dolores Aveiro ameeleza wazi alichoambiwa na mwanae baada ya kuondolewa kwa timu yake katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Ajax ya nchini Uholanzi. Ronaldo kwa kawaida amekuwa na sifa ya kutopenda kupoteza mchezo au chochote alichokuwa amedhamiria kukipata, kwa mujibu wa …