Pogba ni tatizo kuwa Old Trafford, asema Keane
Nyota wa zamani wa Manchester United Roy Keane amefunguka kuwa kiungo Paul Pogba ni tatizo kubwa katika kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer. Licha ya Pogba kuomba msamaha baada ya kipigo cha goli 4-0 kutoka kwa Everton wiki jana, Keane akiongea kuelekea mechi ya Manchester Derby jana kupitia kituo cha Sky Sports amesema kuwa hawezi kuamini …