Bailly kuikosa AFCON Misri mwaka huu
Nyota tegemeo wa timu ya taifa ya Ivory Coast na klabu ya Manchester United Eric Bailly aliyeumia katika mchezo dhidi ya Chelsea Jumapili iliyopita atakuwa nje ya uwanja kwa muda wote wa msimu uliobaki kufuatia kuumia goti lake la kulia. Bailly anashindwa kumaliza msimu kutokana na kuumia goti lake la kulia kwa kugongana na Marco …