Chamberlain atakuwa kulipa ahadi yake kwa Robertson
Beki wa kushoto wa Liverpool Andy Robertson amefichua kuwa,kuelekea kuanza kwa msimu huu wa ligi kuu, mchezaji mwenzake Alex Oxlade Chamberlain alimwambia kuwa ataweka jezi yake kwenye frame nyumbani kwake kama atakuwa na assist 10 katika ligi kuu msimu huu. Beki huyo wa kushoto ijumaa iliyopita kwenye ushindi wa 5-0 dhidi ya Huddersfield alitengeneza magoli …