Sarri ashangazwa Hazard kutokuwepo katika kikosi bora cha msimu England
Hivi karibuni kimetangazwa kikosi bora cha msimu huu ligi kuu England cha chama cha wachezaji wanaocheza soka la kulipwa nchini England PFA, kikosi hicho kwa asilimia kubwa kimetawaliwa na majina ya wachezaji kutoka Manchester City na Liverpool ambao wanachuana vikali kutwaa taji hilo. Jina la mchezaji ambaye yupo nje ya timu zinazowania Ubingwa wa EPL …