FA yatengeneza makombe mawili kwa ajili ya City na Majogoo
Bado ngoma nzito nchini England na mchuano ni mkali kweli kweli kati ya Liverpool na Manchester City kujua timu gani itatwaa Ubingwa kutokana na timu hizo kutofautiana alama moja huku michezo wakiwa wamebakiza mitatu kila mmoja. Chama cha soka England FA kipo katika wakati mgumu wa kujua ni timu ipi itaondoka na taji hilo, linalowindwa …