Aggrey Morris afungiwa baada ya kumpiga mchezaji ngumi
Nahodha wa Klabu ya Azam FC Aggrey Morris amefungiwa mechi tatu na kutozwa faini ya Tsh. 500,000 (laki tano) baada ya kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumpiga ngumi mchezaji wa Mbao FC katika mechi hiyo ya Aprili 7, mwaka huu iliyochezwa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Beki huyo amepewa adhabu hiyo …