Wachezaji wa PSG wachangisha pesa za Notre-Dame
Mabingwa wa Ufaransa PSG jana katika katika mchezo wa Ligue 1 ambao waliibuka na ushindi wa nyumbani wa goli 3-1 dhidi ya Monaco, walishuka dimbani wakiwa na jezi za kipekee wakionesha kuguswa kwao na kuungua kwa jengo la Notre Dame Cathedral ambalo ni historia kubwa kwa mji wa Paris na Ufaransa kwa ujumla, PSG wamevaa …