Kinda wa Guinea apoteza maisha kwa ajali ya gari
Nyota kinda wa aliyekuwa timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya Guinea Aly Soumah amepoteza maisha akiwa nchini kwao Guinea saa chache baada ya kupata ajali ya gari akiwa njiani kuelekea kwao. Aly Soumah aliyepoteza maisha akiwa angali na umri mdogo, alikuja nchini Tanzania kwa ajili ya fainali za AFCON …