Wanyama aifukuzia rekodi ya kaka yake Klabu Bingwa Ulaya
Kiungo wa timu ya Tottenham Hotspur ambaye pia ni raia wa Kenya Victor Wanyama yuko mbioni kuinyemelea rekodi ya kaka yake wa damu ambaye pia alikuwa mchezaji wa zamani wa Inter Milan ya nchini Italia Mc Donald Mariga aliyekuwa akifundishwa na Mourinho wakati huo. McDonald Mariga ndio mchezaji pekee wa Afrika Mashariki aliyewahi kufika hatua …